173 views
Rhumba Republik on Radio Maisha
Aired 21 May 2016
0:47
Kikosi cha KTN News kimekuwa katika pwani ya Kenya kukutana na mashabiki na kuwaeleza kuhusu baadhi ya vipindi ambavyo kinapeperusha. Mashabiki walifurahia kukutana na watangazaji wa KTN News Mashirima Kapombe na Zubeidah Koome.