
275 views
Kwa kiongozi yeyote haswa mwanasiasa, ndoto kuu huwa kuwa katika wadhifa wa juu zaidi na wenye mamlaka. Lakini hiyo sio azma seneta Godliver Omondi ambaye ametangaza kuwa atagombea kiti cha uwakilisho wa wadi katika uchaguzi mkuu ujao. Huyu hapa Duncan Khaemba na tarifa hiyo.