
49,645 views
17 Nov 2016
Celebrated Kenyan Producer Cum Artist has yet again released his new single dubbed "Odada". Follow Totti on facebook: https://www.facebook.com/tottimusic Follow Totti on Instagram: https://www.instagram.com/tottimusic Follow Totti on Twitter: https://www.twitter.com/tottimusic_ Audio Produced at Kay-G Records. Video Directed by Johnson Kyalo. Label: La Internationale (c) Lyrics Umbo lako lanimaliza, Sura yako yanivutia Macho yako yakinitazama, moyo wangu unafeli, unasimama (Sina mengi ila moyo wangu nitakupa Wako wengi wenye uwezo wa wakunipita) x2 Nafsi yangu ishakupenda wewe Kama mtoto na sweety unidhamini mimi (Wakininyanganya..itaniumiza roho Wakininyanganya..itakua soo) ×2 Chorus (Oh laa la la la la ...My beautiful Odada) ×4 (Nikupendee, Unipendee, Nikupendee Ooh baby)×2 Verse 2 Laiti ungekua mziki mtamu ningekucheza taratibu Kwangu wee ua, nikulinde kama nilivyofunzwa na babu Niamini mimi, naomba unisikilize kwa makini Nakudhamini zaidi ya pesa, gari na madini (Kama shamba nitachukua Gari nyumba nitachukua Zile ngombe nitachukua Hata wewe ntakuchukua) ×4 Nibaki na wewee, hadi milele, mimi na wee Coz i belong to you.. ×2 (Wakininyanganya..itaniumiza roho Wakininyanganya..itakua soo) ×2 Chorus (Oh laa la la la la ...My beautiful Odada) ×4 (Nikupendee, Unipendee, Nikupendee Ooh baby)×2 Acha nizame ( with chants) ×4 Nakupenda mama aah Nakupenda sweety ooh Nakupenda mamaaa aah Nakupenda sweety oooh