
331 views
Hebu fikiria dadako au hata mke wako akiwa amepoteza watoto wanane kila anapojifungua. Mtazamaji hiyo ndiyo hali aliyokumbana nayo Amina Gedi kutoka kaunti ya mandera kufwatia ukosefu wa ushauri na huduma za afya. Lakini tangu apate usaidizi wa madaktari amina amejifungua mtoto salama. Je hisia zake ni zipi? Mwanahabari Hamza Yussuf amekuwa mandera hivi majuzi na sasa anasimulia hadithi yake.