
309 views
Jamaa na marafiki wa Edward Gitau aliyefahamika zaidi kwa uchoraji vibonzo katika gazeti la Taifa Leo “Juha Kalulu” wameeleza kusikitishwa kwao na kifo chake Jumatano Alasiri. Gitau ambaye alianza kuchora “Juha Kalulu” kwenye gazeti la “East African Standard” 1954 kisha Taifa Leo hadi kifo chake ametajwa kuwa mtu mkarimu mwenye kupenda kazi yake. Mashirima Kapombe anaarifu.