130 views
Rhumba Republik on Radio Maisha
Aired 20 May 2016
1:42
Polisi mjini Kisumu wamewatia mbaroni washukiwa wawili kwa kuigiza kuwa mkuu wa polisi nchini Kenya Joseph Boinnet na baadhi ya watu mashuhuri nchini.. Rashid Ronald anaarifu kuhusu washukiwa hao na njama zao.