
176 views
Wizara ya Elimu inaendelea kuwakazia kamba wakenya wenye uzoefu wa kuendeleza wizi wa mitihani ya taifa. Kama njia moja ya kuuzika uovu huo kwenye kaburi la sahau, . MojawapWaziri wa Elimu Fred Matiang’i alitangaza mabadiliko muhimu kwenye kalenda ya mihula ya masomo ni kupigwa marufuku mikusanyiko ya wazazi na watahiniwa kwa njia ya maombi au wazazi kuwatembelea watahaniwa muhula wa mwisho. Mwanahabari Frank Otieno ameandaa taarifa inayotupa takwimu ya visa vya wizi wa mitihani ya kidato cha nne humu nchini.