
23 views
Makatibu wa jaji wa mahakama ya juu zaidi nchini Phillip Tunoi pamoja na wa Gavana wa jiji la Nairobi Evans Kidero leo walikua mbele ya jopo linalomchunguza jaji Phillip Tunoi na kukana kuwahi kumuona Geofrey Kiplagat katika afisi zao. Francis Mtalaki amekuwa akifuatilia vikao hivi na kutuandalia taarifa ifuatayo.