35 views
Rhumba Republik on Radio Maisha
Aired 18 May 2016
1:14
Siku ya upili ya ubomozi wa majengo mtaani Huruma iliendelea katika eneo la Mathare. Kwa sasa majengo mawili yamebomolewa katika eneo hilo. Hata hivyo wakaazi wa eneo hilo walielezea wasiwasi wao jinsi shughuli zima ilivyo kuwa ikitekelezwa