19 views
Maisha Jioni on Radio Maisha
Aired 18 May 2016
1:29
Mbio za kitaifa kwa Vyuo vya Mafunzo ya Walimu ziling’oa nanga hii leo katika chuo cha Migori huku ukionekana kushamiri. Vivian Chepkoech alitwaa ubingwa katikia fainali ya mita 10,000 huku Samuel Kiprotich akibobea katika mbio za 1500m