Abiria 250 wanusurika baada ya treni waliokuwa wakisafiria kupata ajali

 • | KBC Video
  75 views

  Takriban abiria 250 walinusurika bila majeraha baada ya treni waliokuwa wakisafiria kupata ajali.Treni hiyo iliyokuwa ikielekea Kisumu ilipata ajali hiyo umbali wa kilomita kutoka kituo cha reli cha Kisumu leo asubuhi.Chanzo cha ajali hiyo hakijabainika hatahivyo duru zasema ajali hiyo iliyotokea mwendo wa saa moja asubuhi huenda ilitokana na mvua kubwa iliyonyesha katika sehemu hiyo jana jioni.Achola simon anatusimulia zaidi.

  Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

  #kbcchannel1 #kisumucounty #trainaccident

  accident