Abiria waliokuwa kwa basi lililosombwa na mafuriko likitoka Wajir kuelekea Nairobi waokolewa.

  • | K24 Video
    160 views

    Abiria wote waliokuwa kwa basi lililosombwa na mafuriko likitoka Wajir kuelekea Nairobi wameokolewa.maafisa wa msalaba mwekundu wameeleza uokoaji ulianza na wale wana mahitaji maalum. haya yanajiri baada ya idara ya hali ya anga kuonya kuhusu kushuhudiwa kwa mafuriko yanayosababishwa na mvua kubwa katika maeneo tofauti nchini.