ADAK: Tumeanza kuona matokeo ya vita dhidi ya matumizi ya dawa za kusisimua misuli

  • | NTV Video
    203 views

    Shirika la Kenya la kupigana na dawa za kusisimua misuli, almaarufu ADAK, limekiri kuwa mikakati ya serikali dhidi ya vita hivyo katika riadha imeanza kuleta matunda baada ya shirika hilo kuandikisha upungufu wa kesi tangu mwaka huu uanze hadi sasa ikilinganishwa na mwaka jana.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya