Adhabu ya kifo kwa Joseph Irungu kwa kumuua mfanyibiashara Monica Kimani

  • | KBC Video
    246 views

    Joseph Kuria Irungu au kwa jina la utani Jowie amehukumiwa kifo kuhusiana na mauaji ya mfanyabiashara Monica Kimani. Jaji wa mahakama kuu Grace Nzioka alisema kuwa baada ya uchambuzi wa kina wa ripoti ya maafisa wa urekebishaji tabia, wataalamu kuhusu mauaji, familia ya mwathiriwa na upande wa mashtaka, imebainika kwamba Irungu alikuwa na hatia ya mauaji na anastahili kupewa adhabu kali inayoambatana na uhalifu huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive