Aendesha gari kutoka London hadi Lagos

  • | BBC Swahili
    584 views
    Msafiri Pelumi Nubi alishangaza ulimwengu na wazazi wake alipotangaza kwamba atasafiri kwa kuendesha gari lake aina ya Peugeot 107 kutoka jiji analoishi la London hadi mji aliozaliwa wa Lagos, Nigeria. "Nilitaka kuonyesha bara nililozaliwa, haswa Afrika Magharibi." Safari ilichukua zaidi ya miezi 2 na Pelumi alipita katika nchi 17 kwa gari lake akiwa pekee yake. #bbcswahili #nigeria #london #safari #utalii #afrika Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw