Skip to main content
Skip to main content

AFC Leopards wafunga Nairobi United 1-0

  • | Citizen TV
    175 views
    Duration: 49s
    Timu ya AFC leopards imepunguza pengo dhidi ya viongozi gor mahia hadi pointi saba baada ushindi wa bao 1-0 dhidi ya nairobi united katika mechi ya ligi kuu ya kandanda iliyochezwa alasiri ya leo. Ingwe ilifunga bao la pekee mapema katika kipindi cha kwanza.