26 Feb 2026 8:11 pm | Citizen TV 349 views Duration: 1:15 Timu ya AFC Leopards imepata pigo kubwa kwenye kinyang'anyiro cha ligi kuu ya kandanda baada ya kichapo cha bao 1-0 dhidi ya wanabenki wa KCB. Bao la pekee lilipatikana katika kipindi cha pili