AFCON 2023: DRC yaishinda Guinea 3-1

  • | VOA Swahili
    229 views
    Baada ya DRC kutoka sare katika mechi zote nne zilizotangulia za Kombe la Mataifa ya Afrika, Ivory Coast 23, leo Ijumaa wamewashinda Guinea kwa mabao 3-1. Mwandishi wa DRC anaeleza kuwa wameonyesha kuwa wana uzoefu mkubwa katika mechi ya leo. Endelea kusikiliza... #AFCON #Leopard #DRC #Afrika #Soka #guinea