AFCON 2023: DRC yawapa matumaini mashabiki, yaifunga Guinea 3-1⁣ ⁣

  • | VOA Swahili
    226 views
    Baada ya DRC kutoka sare katika mechi zote nne zilizotangulia za Kombe la Mataifa ya Afrika, Ivory Coast 23, leo Ijumaa wamewashinda Guinea kwa mabao 3-1. Mwandishi wa DRC anaeleza kuwa wametoa kwa mashabiki wao matumaini makubwa ya kushinda kombe hili. Endelea kusikiliza...⁣ ⁣ #AFCON #Leopard #DRC #Afrika #Soka #guinea