Afcon: Kuchezea klabu au nchi?

  • | BBC Swahili
    310 views
    Michuano ya 34 ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) itaanza Januari 13 nchini Ivory Coast wakati huo huo ligi mbalimbali za soka barani Ulaya zikiwa bado zinaendelea. Hivyo, wakati nyota wa Afrika kama Victor Osimhen, Mohammed Kudus na Mohamed Salah wataelekea Ivory Coast kwa ajili ya michuano hiyo, klabu zao zitaendelea na msimu wao. Awali baadhi ya Makocha wa kandanda walizungumza kuhusu usumbufu unaotokea katika mashindano wakati wa msimu kwa kuwakosa wachezaji muhimu kwa hadi mwezi mmoja. #bbcswahili #ivorycoast #afcon Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw