Afis wa utawala AP amemuua afisa wa magereza kwa kumpiga risasi shingoni katika jumba la Burudani

  • | West TV
    339 views
    Afisa wa polisi wa utawala kaunti ya trans nzoia amemua afisa wa magereza kwa kumpiga risasi katika jumba la burudani mjini kitale baada ya kutofautiana kwenye kisa ambacho idara ya upelelezi imeanzisha uchunguzi