Afisa aliyeuawa kufuatia mzozo ndani ya baa ameziwa

  • | Citizen TV
    2,058 views

    Hali ya majonzi na huzuni ilitanda wakati wa mazishi ya Ezekiel Bett afisa wa KDF ambaye alifariki baada ya kupata majeraha mabaya ya kukatwa na panga kufuatia mzozo kati yake na mmiliki wa baa moja eneo la mutaragon eneo bunge la Kipkelion kaunti ya Kericho