Afisa Konstebo Jackson Konga akamatwa kwa kumuua afisa mwenzake Sagenti Christopher Kimeli

  • | Citizen TV
    125 views

    Afisa wa cheo cha Konstebo Jackson Konga amekamatwa na maafisa wa usalama jijini Nakuru kwa kumuua afisa mwenzake wa polisi Sagenti Christopher Kimeli mapema leo.