Afisa misitu amdhibiti Cobra chini ya dakika moja

  • | BBC Swahili
    2,788 views
    Tazama afisa Misitu wa kike akimkamata kwa ustadi cobra mkubwa mwenye urefu wa takriban mita 6 Nyoka huyo mkubwa alionekana na wanakijiji katika karibu na mto walipokuwa wakioga. Afisa wa misitu aitwaye Roshni alifika haraka eneo hilo baada ya mamlaka kufahamishwa na kumkamata nyoka huyo, kisha akamwachilia porini. #bbcswahili #india #wanyama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw