Afisa Mkuu Dkt. Evanson Kamuri atuhumiwa kwa ufisadi

  • | Citizen TV
    646 views

    Afisa Mkuu mtendaji wa hospitali kuu ya Kenyatta Daktari Evanson Njoroge Kamuri anachunguzwa kwa tuhuma za ufisadi huku tume ya EACC ikizuia akaunti zake za benki. Tume hiyo inachunguza madai ya ufisadi ya mamilioni ya pesa yanayomhusisha Daktari Kamuri akituhumiwa kwa ukiukaji wa utoaji zabuni wa miongoni mwa miradi mingine kile cha usambazaji wa hewa ya oksijeni ya gharama ya shilingi milioni 634