Afisa mkuu mtendaji wa EACC asema hawana mzozo na mkurugenzi wa mashtaka ya umma

  • | KBC Video
    40 views

    Afisa mkuu mtendaji wa tume ya kupambana na ufisadi humu nchini Twalib Mbarak amesema tume hiyo haina mzozo wowote na mkurugenzi wa mashtaka ya umma ila wametofautiana na mkurugenzi mashtaka kuhusu suala la kuondoa mahakamani kesi zinazohusisha watu walio na ushawishi mkubwa. Akizungumza katika chuo kikuu cha Pwani kaunti ya Kilifi wakati wa mhadhara kwa vijana kuhusu uongozi bora, Twalib alisema alikutana na mwenzake Renson Mulele kujadili suala hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive