Afisa mmoja amefariki na mwingine kujeruhiwa Nakuru

  • | Citizen TV
    3,254 views

    Afisa mmoja wa gereza amefariki na mwingine akiuguza majeraha mabaya hospitalini baada ya kufumaniwa na wanakijiji wa Mogoon, Nakuru magharibi kwa madai ya kuwalaghai watu