Afisa mmoja wa polisi amejipiga risasi kimakosa Kipkaren

  • | Citizen TV
    10,902 views

    Afisa mmoja wa polisi amejitoa uhai kwa kujipiga risasi kimakosa katika kituo cha Kipkaren River mpakani mwa kaunti ya Kakamega na Uasin Gishu.