Afisa wa Jeshi la Polisi Aliyechezesha michezo mingi msimu uliopita

  • | BBC Swahili
    152 views
    Sady Mrope, Afisa wa Jeshi la Polisi na pia ni mwaamuzi wa Ligi kuu Tanzania bara Aliyechezesha michezo mingi zaidi msimu uliopita ambae ana Amini kuletwa kwa Waamuzi kutoka nje kuja kucheza michezo ya Ligi kuu Tanzania bara inaongeza chachu ya kukua kwa soka. Sady amezungumza na mwandishi wa bbc Omary Mkambara Mengi Kuhusu uamuzi na ni vipi anajigawa Kufanya kazi za Polisi na uamuzi soka. Kutazama mahojiano haya kwa urefu tembeleaa Youtube ya BBCSwahili #bbcswahili #tanzania #soka Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw