Afisa wa kituo cha huduma atoweka Wajir

  • | Citizen TV
    346 views

    Wajumbe wa Bunge la Kaunti ya Wajir, wakiongozwa na Spika Abdille Yussuf, wameelezea wasiwasi wao kuhusu kutoweka kwa njia ya kutatanisha kwa Meneja wa kituo cha Huduma mjini humo