Afisa wa polisi afariki akitibiwa mjini Kisumu baada ya maandamano ya Alhamisi

  • | Citizen TV
    23,875 views

    Watu wanne wanatibiwa katika hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga baada ya kupigwa risasi kwenye maandamano ya hapo jana mjini kisumu. Wanne hao walio na umri wa kati ya miaka 17 na 39 wanadaiw akupigwa risasi na polisi katika ene la kondele ambapo waandamanaji walikabiliana na polisi.