Afisa wa polisi aliuwawa na wafungwa

  • | Citizen TV
    804 views

    Viongozi wa kisiasa wametakiwa kuwa mstari wa mbele kuendeleza uwiano baina ya jamii za wafugaji katika kaunti ya Samburu,ili kuzima na kukomesha visa vya utovu wa usalama vinavyoonekana kuibuka upya