Afisa wa Polisi ampiga risasi na kumuua Bawabu wa kiwanda cha kusaga sukari cha Nzoia

  • | West TV
    340 views
    Hali ya taharuki ilitanda mapema ijumaa hii eneo la nzoia katika eneo bunge la kanduyi baada ya afisa mmoja wa polisi kumpiga risasi na kumuua bawabu aliyekuwa akitoka kazini kwa tuhuma za kuiba sukari katika kiwanda cha sukari cha nzoia