Afisa wa polisi James Mukhwana azuiliwa siku 21 kufuatia mauaji ya Ojwang’

  • | NTV Video
    96 views

    Afisa wa polisi James Mukhwana na ambae ni mshukiwa kwenye kesi ya mauaji ya mwanablogu Albert Ojwang', atazuiliwa kwa kipindi cha siku 21 ili kuruhusu uchunguzi wa kina kufanywa.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya