- 7,773 viewsDuration: 1:57Maafisa wa ujasusi kaunti ya Kisii wachunguza kifo cha polisi wa kike adaiwaye kujipiga risasi usiku wa kuamkia jumanne akiwa amejifungia ndani ya moja wapo ya ofisi za maafisa wa ujasusi mjini humo. Maafisa wa ujasusi kaunti ya Kisii wachunguza kifo cha polisi wa kike adaiwaye kujipiga risasi usiku wa kuamkia jumanne akiwa amejifungia ndani ya moja wapo ya ofisi za maafisa wa ujasusi mjini humo.