- 346 viewsDuration: 3:14Afisi ya Msimamizi wa Bajeti za serikali ni ya punde zaidi kuelezea wasiwasi kuhusu usimamizi wa hazina mpya ya kitaifa ya miundomsingi iliyopendekezwa na rais William Ruto. Kwenye waraka wake kwa kamati ya bunge kuhusu fedha inayoangazia mswada kuhusu kubuniwa kwa hazina hiyo, msimamizi wa bajeti anasema bado kuna mianya katika usimamizi wa shilingi trilioni tano za hazina hiyo. Taasisi ya wahasibu nchini ICPAK pia ikielezea wasiwasi sawa