Afisi ya kaunti ya Isiolo yateketezwa moto

  • | Citizen TV
    329 views

    Hali ya taharuki imetanda katika kaunti ya Isiolo baada ya watu wasiojulikana kuteketeza ofisi ya katibu wa kaunti hiyo na kuharibu mali ya bunge la kaunti hiyo