Afisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma kujumuishwa miongoni mwa taasisi huru iwapo BBI itapits

  • | KBC Video
    Afisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma huenda ikajumuishwa miongoni mwa taasisi huru ikiwa mswada uliopendekezwa wa marekebisho ya katiba wa mwaka 2020 utaidhinishwa. Mswada huo unapendekeza mkurugenzi wa mashtaka ya umma atakayeteuliwa awe na kiwango cha masomo na vyeti vinavyohitajika kama jaji wa mahakama ya rufani. Katika kitengo chetu cha marekebisho ya katiba, Kevin Wachira anaangazia mabadiliko yaliyopendekezwa kwenye afisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive