Africa Eye inafichua matapeli wa uzazi Nigeria

  • | BBC Swahili
    946 views
    BBC Africa Eye imechunguza utapeli katika masuala ya uzazi unaolenga wanawake wa Nigeria na kuchochea biashara ya haramu ya watoto wachanga. Wanawake wenye matatizo ya uzazi nchini Nigeria wanadanganywa na kutoa mamilioni ya dola, wakiamini kwamba wanaujauzito na wanajifungua watoto ambao mara nyingi husafirishwa kimagendo. #bbcswahili #nigeria #upekuziwabbcafrikaeye Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw