Afrika Mashariki yatoa mwongozo wa kukabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya hewa

  • | VOA Swahili
    275 views
    Nchi za Afrika Mashariki ziliungana na mataifa megine 200 duniani katika Kongamano la Kimataifa la mabadiliko ya hali ya hewa COP28 lililofanyka Dubai na kutoa mwongozo wa utekelezaji wa maswala mbalimbali katika kukabiliana na athari hayo. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.