Afrika yaadhimisha siku ya kupambana na ufisadi

  • | Citizen TV
    276 views

    Maadhimisho ya siku ya kampeni dhidi ya ufisadi barani afrika yanafanyika hapa jijini Nairobi, kauli mbiu ikiwa kuimarisha ulinzi wa wanaofichua ufisadi.