Afueni kwa mbunge Mukunji

  • | TV 47
    48 views

    Mahakama yakataa ombi la DCI kuwazuilia Mukunji na wengine.

    Washukiwa wakabiliwa na mashtaka ya ugaidi kuhusu maandamano ya saba saba.

    DPP asema uchunguzi umefikia asilimia 70 ya ukamilifu wake.

    Kesi kutajwa tena tarehe 26 Agosti kuchukua mashitaka.

    #TV47Matukio

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __