Afya ya Uzazi I Idadi ya wanawake wanajifungulia hospitalini yaongezeka

  • | KBC Video
    5 views

    Idadi ya wanawake wanaotafuta huduma za ujauzito katika hospitali za umma imeongezeka kutoka asilimia 70 hadi asilimia 90 katika kipindi cha miaka minne iliyopita. Hii inafuatia kuanzishwa kwa kundi la huduma kwa wajawazito ambapo idadi ya wanawake wajawazito wanaotembelea vituo vya afya imeongezeka.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive