Afya Yako: Je, wajua kwamba kukoroma (ukipenda kung’orota) kwa watoto siyo kawaida?

  • | NTV Video
    181 views

    Je, wajua kwamba kukoroma (ukipenda kung’orota) kwa watoto siyo kawaida? Wataalam wanaonya kuwa kukoroma ni ishara kwamba njia ya hewa imezibika, huku utafiti ukiashiria kuwa kadri miaka inavyosonga, ndivyo idadi ya watoto wanaoathirika na kupanuka kwa tishu za “adenoid” inaongezeka.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya