Agizo kwa polisi kupiga risasi waandamanaji lakera viongozi

  • | Citizen TV
    229 views

    Viongozi wa kidini katika kaunti ya Bungoma wamemtaka Rais William Ruto kubatilisha agizo lake kwa polisi kuwa wakabiliane na wahuni katika maandamano kwa kuwapiga risasi mguuni