AGOK NA BCLB WAZINDUA KAMPENI YA 'CHUKUA CONTROL'

  • | K24 Video
    49 views

    Shirikisho la Kampuni za Michezo ya Kamari (AGOK) kwa ushirikiano na Bodi ya Kudhibiti Ubashiri (BCLB) wamezindua kampeni ya Chukua Control, ikilenga kuelimisha jamii kuhusu ubashiri na michezo ya kamari nchini.