Skip to main content
Skip to main content

Agwambo, Baba, Jakom... majina ambayo hayati Raila Odinga alijulikana nayo

  • | NTV Video
    1,444 views
    Duration: 4:34
    Kwa miaka alioshi na katika safari yake ya kisiasa, hayati Raila Amolo Odinga alipendwa na wengi na hata akapewa majina na wafuasi wake na hata waliokuwa wanamtazamia kisiasa. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya