Ahadi ya Rais Ruto

  • | Citizen TV
    3,088 views

    Rais William Ruto amesema kuwa serikali yake ina mpango wa kuweka akiba ili kuepuka kukopa kutoka mataifa mengine. Rais akishikilia kuwa, mzigo mkubwa wa madeni nchini yanasababishwa na kutokuwa na akiba. Matamshi yake yakionekana kutetea hatua ya serikali yake kuidhinisha sheria ya sheria. Rais alizungumza alipohudhuria ibada ya ya jumapili katika kanisa la Faith Evagelistic Ministry mtaani Karen.