Ahmed Abdullahi awaahidi wakazi wa Wajir kuwa ataimarisha utendakazi wa serikali ya kaunti hiyo

  • | KBC Video
    24 views

    Mwaniaji huyo aliwahimiza wapiga kura kutekeleza haki yao ipasavyo wakati wa uchaguzi mkuu wa mwezi agosti mwaka huu kwa kuwachagua viongozi wao kwa busara. Abdullahi alikuwa ameandamana na mgombea mwenza wake huku akitumai kuibuka mshindi baada ya kupoteza kiti hicho wakati wa uchaguzi uliopita mwaka 2017.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #2022Campaigns #AhmedAbdullahi #Wajir