Aina 3 za mbolea ghushi zapigwa marufuku

  • | KBC Video
    21 views

    Serikali imepiga marufuku aina tatu za mbolea iliyosambazwa chini ya mpango wa ruzuku kutokana na kutofikia ubora unaofaa. Katibu katika wizara ya kilimo Kiprono Rono amesema mbolea aina ya Kelphos Gold, Kelphos Plus na NPK 10.26.10 iliyotengenezwa na Kel Chemicals haifikii kiwango mwafaka cha ubora, kikiwa ndicho kiini hasa cha serikali kuchukua hatua hiyo. Afisa mkuu mtendaji wa kampuni ya Silica Booster pia inayofahamika kama SBL Innovate Manufacturers Josiah Kariuki, alifika katika afisi za idara ya uchunguzi wa lkesi za jinai eneo la Nairobi kuhusiana na sakata ya mbolea hiyo ghushi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive